Saturday, March 9, 2019
Monday, December 31, 2018
Monday, October 15, 2018
DEO H. FILIKUNJOMBE
![]() |
DEO H. FILIKUNJOMBE |
MH. Deo Haule Filikunjombe ni taa iliyozimika mapemakabla ya wakati wa kuzima kwake. Alikuwa bado anahitajika kwa wananchi wa Jimbo lake la Ludewa na kwa watanzania wote pia.
Wakati wa uhai wake alifanya mambo mengi sana kwa wananchi wake wa jimbo la ludewa na kwa watanzania.
Alishiriki katika miradi ya maji jimboni kwake (Madindo - mlangali) |
Alishirikiana na wananchi katika jitihada za kuhakikisha umeme unafika jimboni kwake |
Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti tukio hili la kusikitisha kwa wananchi
ITV walitufikishia taarifa hizi za kusikitisha namna hii.
Magazeti mbalimbali nchiniyalikuwahivi
Leo octoba 15 2018 watanzania tunakumbuka miaka mitatu ya kifo cha mbunge huyu kijana machachari nchini. Umuhimu wake kwa watanzania ulikuwa mkubwa mno, Watanzania wengi wataikumbuka michango yake mbalimbali ndani ya bunge na nje ya bunge.
Deo atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa kwenye sakata la ESCROW ambalo alilisimamia kwa kiasi kikubwa na kupeleka ripoti ya PAC bungeni akiwa na mwenzake ZITTO KABWE.
APUMZIKE KWA AMANI DEO HAULE FILIKUNJOMBE.
Sunday, October 14, 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)